
Nondo
Zinatengenezwa kiwandani kwetu kuanzia kuyeyusha chuma hadi nondo kamili na kuviringishwa kwa kiwango cha TBS: bidhaa iliyotufanya kuwa watengenezaji kinara wa nondo za kiwango cha TBS nchini Tanzania. Nondo za mviringo (round bars) zinapatikana pia.
- Vipimo
- 8, 10, 12, 16, 20 na 25 mm
- Kiwango
- TZS 142 (ithibati ya TBS)
- Matumizi
- Zege la nondo kwa ujenzi na miundombinu




